Office attendant

ikigori

Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
26
Reaction score
0
Tunatafuta mhudumu wa ofisi awe binti,elimu kidato cha nne 0783 215 450
 
Tunatafuta mhudumu wa ofisi awe binti amemaliza kidato cha nne,call 0783 215 450
 
Tunatafuta mhudumu wa ofisi awe binti amemaliza kidato cha nne,call 0783 215 450

sasa labda ungeseam na umri na vigezo vingine manake wengine kupiga pasi kuwa na uhakika wa kumeet minimum requirement zako ni ishu.
 
Duuh, hapo naona mtazaomo wa mazigira hatarishi, ni office gani hiyo na ni wapi?
 
Ungeiforward na kulee kwenye jukwaa husika!
 
huyu anatafuta mabint waliomaliza form four za kata atakuwa na sehemu ya kutolea viburudisho. mabint kuweni makini na mtu huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…