Ni office kubwa, kuna partition mbili kubwa
Kuna choo ndani
Madirisha makubwa
Parking nje ipo ya kuweka gari
Location ni nyumba za Nhc opposite na Dar free Market
Kodi ni laki nne na nusu kwa mwezi (malipo kuanzia miezi sita)
225,000 ya dalalali( nusu ya kodi ya mwezi mmoja)
Hakuna service charge
Piga au text 0682521021