Office inapangishwa mwenge opposite na efatha bank

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,155
Reaction score
2,704
Office inapangishwa ipo mwenge nyuma ya kituo cha Tegeta opposite na Efatha bank,300,000 kwa mwezi kodi miezi 6 ina vyumba 3,reception na vyumba 2 vya office ! Contact 0756 090 222 !
Gharama za ziada : kunagharama kwa ajili ya mlinzi kila mwezi na pia kuna gharama za kutenganisha umeme ambazo zimelipiwa na aliekua anaitumia Tsh. 600,000,kwa maelezo zaidi piga 0756 090 222 !

INA TILES,PARKING NA IPO BARABARANI ........FIRST COME FIRST SERVE

 
ni nzuri na bei reasonable. Tatizo pale kuna bodaboda wasijetuua kwa transacxtion za laki moja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…