Office inauzwa ipo kwenye location nzuri

Office inauzwa ipo kwenye location nzuri

BABA BOMBASTIC

Senior Member
Joined
Jul 10, 2024
Posts
146
Reaction score
246
Library ya movies za kutafsiriwa na zisizotafsiriwa inauzwa ipo mabibo NIT chuo cha usafirishaji, library ipo barabarani kabisa, unaweza kukaa mwenyewe au unatafuta kijana ukamuweka kuingiza 30,000 mpaka 45,000 kwa siku ni jambo la kawaida mnoo, office ni banda la mbao nzuri ujihitaji nitafute.
0686 821302
0781 493401

Utajiuiza kama unaingiza pesa hizo mbona unauza? Labda nikuelekeze kuna jambo la kifamilia limetokea ambalo litanifanya mimi nihame kabisa Dar niende mkoa sasa sitaweza kuja tena Dar kusimamia, jambo ni kubwa sana
 
Banda lenyewe hili hapa
 

Attachments

  • 20240915_133140.jpg
    20240915_133140.jpg
    1.6 MB · Views: 3
  • 20240915_133158.jpg
    20240915_133158.jpg
    3.8 MB · Views: 4
  • 20240915_133208.jpg
    20240915_133208.jpg
    4.2 MB · Views: 4
  • 20240915_133140.jpg
    20240915_133140.jpg
    1.6 MB · Views: 3
Kwa hali hii bora nijiajiri tu kwenye hiyo biashara. Elfu 30-45 kwa siku!! Si mchezo.
 
Back
Top Bottom