pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Sio wote waliteuliwa wakiwa retired. K.m. Col. Oguna, Capt. Kibe, majasusi kina Haji na Twalib, Mutyambai pia wote waliteuliwa wakiwa kazini. Hata hao retired waliteuliwa punde tu muda wao wa kupumzika ulipowadia. Ila nadhani huwa wanalazimika kuretire ili waendelee na majukumu yao kama 'civilians'.Lakini Tofauti ni kwamba hawa wote ni retired.... Huhu ambaye amewekwa sahii yuko active military service.... Sasa sijui kama atalazimika ku retire ama bado atakua anapokea mshahara wa jeshi bado?
Bruh....deep in his feelingsUmecatch mafeelings πππ
Hapo ndo nilikua na lenga, yani mimi sitaki situation ampapo mtu anapokea mshahara wa kijeshi na wa civilian kwa wakati mmoja.... Yani the moment akiapishwa kama head of NAMATA basi apeleke barua kwa KDF ya kujihuzulu kama hao wengineSio wote waliteuliwa wakiwa retired. K.m. Col. Oguna, Capt. Kibe, majasusi kina Haji na Twalib, Mutyambai pia wote waliteuliwa wakiwa kazini. Hata hao retired waliteuliwa punde tu muda wao wa kupumzika ulipowadia. Ila nadhani huwa wanalazimika kuretire ili waendelee na majukumu yao kama 'civilians'.
Acha ubishi wa kitoto, hao wote wameteuliwa na rais. Sema tofauti na Magufulistan ni kwamba Kenya hata rais akikuteua haimaniishi kwamba utapata kazi hiyo 'automatically'. Kisheria, kulingana na Katiba ya Kenya, idhini ya bodi inahitajika, kama ni parastatal. Au usaili wa kamati husika kutoka kwa bunge zote mbili, kwa watumishi wa umma. Hivyo sio vitu vya kubahatisha, process yote hiyo ikikosa kufatwa mkenya yeyote yule anaweza akafika mahakamani na uteuzi ukatupiliwa mbali.wacha upumbavu Board of directors chose Major Rtd Nyamoko and not Uhuru
And Kibe CS of Trasportation appointed him
Save your energy. This old man is nothing but a troll.Acha ubishi wa kitoto, hao wote wameteuliwa na rais. Sema tofauti na Magufulistan ni kwamba Kenya hata rais akikuteua haimaniishi kwamba utapata kazi hiyo 'automatically'. Kisheria, kulingana na Katiba ya Kenya, idhini ya bodi inahitajika, kama ni parastatal. Au usaili wa kamati husika kutoka kwa bunge zote mbili, kwa watumishi wa umma. Hivyo sio vitu vya kubahatisha, process yote hiyo ikikosa kufatwa mkenya yeyote yule anaweza akafika mahakamani na uteuzi ukatupiliwa mbali.