Sawa mtani..kilichobaki ni kuombe robo fainali sasa..Julai 19, 2023! Hata hivyo ulikuwa ni utabiri tu mtani.
Sahihi kabisa. Ikifuzu hata timu moja tu kwenda hatua ya nusu fainali, bado litakuwa ni jambo la heri.Sawa mtani..kilichobaki ni kuombe robo fainali sasa..
Yah sure..Sahihi kabisa. Ikifuzu hata timu moja tu kwenda hatua ya nusu fainali, bado litakuwa ni jambo la heri.
Mkuu Rudi Utuchambulie TenaMVP ambae grafu yake ya performance inashuka..tuache uongo basi..una okota okota rejectView attachment 2694183View attachment 2694184
Umeshaupdate hizi graphs na charts zako?MVP ambae grafu yake ya performance inashuka..tuache uongo basi..una okota okota rejectView attachment 2694183View attachment 2694184
Vipi ushasema au tukuache?MVP ambae grafu yake ya performance inashuka..tuache uongo basi..una okota okota rejectView attachment 2694183View attachment 2694184
Mtakwimu amekaa kitakwimu zaidi πππMVP ambae grafu yake ya performance inashuka..tuache uongo basi..una okota okota rejectView attachment 2694183View attachment 2694184
Fundii[emoji599] OFFICIAL & CONFIRMED:
Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo fundi ZOUZOUA PACOME (26) kutoka Asec kwa Mkataba wa miaka miwili.
Pacome [emoji1132] ni kiungo mshambuliaji kutoka Asec mimossas Ndiye MVP wa ligi ya Ivory coast ni mchezaji mkubwa mwenye thamani kubwa.
View attachment 2693637
Oyaa kaka ππZOAZOA FC[emoji196][emoji196][emoji196][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MVP ambae afcon hawakumuita kwakuwa hawamjui, mchongo huyoGraph inasemaje mpaka sasa.?
Afcon alienda?