Official: Brian Majwega atua Simba SC

Official: Brian Majwega atua Simba SC

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
18,960
Reaction score
67,654
Mganda huyo ametua Simba baada ya mvutano mkali na klabu yake ya zamani ya Azam fc. Mchezo wake wa kwanza akiwa Msimbazi utakuwa dhidi ya Azam fc pale Taifa baada ya wiki mbili zijazo.

source: Clouds Tv kupitia kipindi cha Sports bar

cc Amavubi
 
Last edited by a moderator:
Hivi Simba imeshaenda Unguja kujiandaa na mechi?? Mi sijawahi kusikia Real Madrid inaenda Ibiza kujiandaa na El Classico.. Mpira wa Tz mnapotezeana muda tu
 
Karibu Brian.. Msimbazi.
 
Last edited by a moderator:
Tusaidieni, amefanikiwaje kutua Simba wakati Azam wamemwekea ngumu. Tupeni taarifa ya kutosha zaidi
 
Hii ni kuendeleza utamaduni wa kulinda Undugu baina ya hizi timu 2.
 
Hivi Simba imeshaenda Unguja kujiandaa na mechi?? Mi sijawahi kusikia Real Madrid inaenda Ibiza kujiandaa na El Classico.. Mpira wa Tz mnapotezeana muda tu

...unavifahamu viwanja vya real madrid wanavyofanyia mazoezi? vinaitwa valdebebas, vipo kwny mazingira yaliyotulia,Msimbazi unataka wafanyie mazoezi wapi?
 
Hii ni kuendeleza utamaduni wa kulinda Undugu baina ya hizi timu 2.

...hizi statement wakati mwingine zinasababisha mkanganyiko usiokuwa na maana, ni vyema ukachunga mdomo wako.
 
Huyu si Azam walimtoa kwa mkopo kwa sababu ya kiwango kushuka ina maana Simba kazi yao ni kukusanya RIJEKITED.
 
...unavifahamu viwanja vya real madrid wanavyofanyia mazoezi? vinaitwa valdebebas, vipo kwny mazingira yaliyotulia,Msimbazi unataka wafanyie mazoezi wapi?

Siku zote wanafanyia wapi??
 
Back
Top Bottom