Official CAF rankings for the last five-years after the end of the 2024/25 Champions League and Confederation Cup group stage games

Ubaya Ubwela

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2024
Posts
1,353
Reaction score
3,060
1. Al Ahly — 73 points [emoji1093]
2. Esperance Sportive de Tunis — 57 points [emoji1249]
3. Mamelodi Sundowns — 52 points [emoji1221]
4. Zamalek SC — 42 points [emoji1093]
5. Wydad Athletic Club — 39 points [emoji1173]
6. Simba SC — 38 points [emoji1241]
7. RS Berkane — 37 points [emoji1173]
8. USM Alger — 37 points [emoji1026]
9. CR Belouizdad — 36 points [emoji1026]
10. Al Hilal — 34 points [emoji1232]

Which position is your team on this list? [emoji102]

Utopolo Mnajiona hapo? Utopolo ni katimu kadogo sana barani afrika
IMG_20250120_131729.jpg
 
Kuna watu niliwaambia hapa juzi wanafocus kwenye ranking ya msimu ujao ambayo siyo official na inaenda kubadilika kutokana na matokeo ya mwisho ya msimu huu na wanasahau ranking pekee inayotambulika na CAF mpaka sasa ambayo ni ya msimu huu.

Hivo virank vingine wanavyovitoa huko uchochoroni hauwezi kuvikuta katika page yoyote ya CAF.
 
Mkuu kwani hizo ranking ni za kweli au uongo?
 
Kuna watu niliwaambia hapa juzi wanafocus kwenye ranking ya msimu ujao ambayo siyo official na inaenda kubadilika kutokana na matokeo ya mwisho ya msimu huu na wanasahau ranking pekee inayotambulika na CAF mpaka sasa ambayo ni ya msimu huu.

Hivo virank vingine wanavyovitoa huko uchochoroni hauwezi kuvikuta katika page yoyote ya CAF.
Aliyetoa ranking unayoita ya uchochoroni alikuwa sahihi labda kama hukunielewa. Yanga ana points 34 Sawa na Hilal naangeshinda alikuwa anapata 39. Sijui kama alidanganya nini.
 
UENDESHAJI WA TEAMS ZA YANGA NA SIMBA NI KIPIMO HALISI CHA KUWA MTANZANIA HATA AENDE KUPOKEA MAARIFA WAPI BADO ATABAKI NA UBWEGE , USHIRIKINA NA USWAHILI SWAHILI.
Bora hata sisi kuliko mayahudi na ma USA mapenda ushoga na kuua
 
Aliyetoa ranking unayoita ya uchochoroni alikuwa sahihi labda kama hukunielewa. Yanga ana points 34 Sawa na Hilal naangeshinda alikuwa anapata 39. Sijui kama alidanganya nini.
CAF hawatoi ranking za "ange" na "tuki". CAF wanatoa ranking mwishoni mwa msimu.

Hizo ranking za live update na utabiri hawazitambui ingawa zinafurahisha.

Yanga hawajawahi kuingia top 10 katika ranking yoyote official ya CAF.
 
Nakiona kitu kimoja hapo very interesting kama tukifanikiwa kuingia nusu fainali tutamshusha wydad na kuwa wa 5 na kufikisha alama 39 tukikaza msimu ujao tukafika robo au nusu klabu bingwa tunaweza kumshusha Zamalek tukaenda zetu klabu bingwa dunia.
 
CAF hawatoi ranking za "ange" na "tuki". CAF wanatoa ranking mwishoni mwa msimu.

Hizo ranking za live update na utabiri hawazitambui ingawa zinafurahisha.

Yanga hawajawahi kuingia top 10 katika ranking yoyote official ya CAF.
Yanga nae anazo 34 mwambie aweke point za yanga hapo ni ngapi?
 
1. Al Ahly — 73 points [emoji1093]
2. Esperance Sportive de Tunis — 57 points [emoji1249]
3. Mamelodi Sundowns — 52 points [emoji1221]
4. Zamalek SC — 42 points [emoji1093]
5. Wydad Athletic Club — 39 points [emoji1173]
6. Simba SC — 38 points [emoji1241]
7. RS Berkane — 37 points [emoji1173]
8. USM Alger — 37 points [emoji1026]
9. CR Belouizdad — 36 points [emoji1026]
10. Al Hilal — 34 points [emoji1232]

Which position is your team on this list? [emoji102]

Utopolo Mnajiona hapo? Utopolo ni katimu kadogo sana barani afrikaView attachment 3207273
Tukiwaambia Kuna vijana wapotoshaji ndio Hawa sasa,baada ya Al hilal kufuzu robo ndio akafikisha point 32, yanga kaishia makundi kafikisha 34, uyu mwehu wa Ghana anajaribu kumuondoa yanga pale juu kwa sababu anazozijua yeye labda kuongeza alama 2 za mfukoni kwake kumpa Al hilal uwezi kujua
 
Back
Top Bottom