Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Mkuu kwani hizo ranking ni za kweli au uongo?Kuna watu niliwaambia hapa juzi wanafocus kwenye ranking ya msimu ujao ambayo siyo official na inaenda kubadilika kutokana na matokeo ya mwisho ya msimu huu na wanasahau ranking pekee inayotambulika na CAF mpaka sasa ambayo ni ya msimu huu.
Hivo virank vingine wanavyovitoa huko uchochoroni hauwezi kuvikuta katika page yoyote ya CAF.
Zipi hizo?Mkuu kwani hizo ranking ni za kweli au uongo?
Mbona mapovuUENDESHAJI WA TEAMS ZA YANGA NA SIMBA NI KIPIMO HALISI CHA KUWA MTANZANIA HATA AENDE KUPOKEA MAARIFA WAPI BADO ATABAKI NA UBWEGE , USHIRIKINA NA USWAHILI SWAHILI.
Aliyetoa ranking unayoita ya uchochoroni alikuwa sahihi labda kama hukunielewa. Yanga ana points 34 Sawa na Hilal naangeshinda alikuwa anapata 39. Sijui kama alidanganya nini.Kuna watu niliwaambia hapa juzi wanafocus kwenye ranking ya msimu ujao ambayo siyo official na inaenda kubadilika kutokana na matokeo ya mwisho ya msimu huu na wanasahau ranking pekee inayotambulika na CAF mpaka sasa ambayo ni ya msimu huu.
Hivo virank vingine wanavyovitoa huko uchochoroni hauwezi kuvikuta katika page yoyote ya CAF.
Bora hata sisi kuliko mayahudi na ma USA mapenda ushoga na kuuaUENDESHAJI WA TEAMS ZA YANGA NA SIMBA NI KIPIMO HALISI CHA KUWA MTANZANIA HATA AENDE KUPOKEA MAARIFA WAPI BADO ATABAKI NA UBWEGE , USHIRIKINA NA USWAHILI SWAHILI.
CAF hawatoi ranking za "ange" na "tuki". CAF wanatoa ranking mwishoni mwa msimu.Aliyetoa ranking unayoita ya uchochoroni alikuwa sahihi labda kama hukunielewa. Yanga ana points 34 Sawa na Hilal naangeshinda alikuwa anapata 39. Sijui kama alidanganya nini.
Mwanamakundi aliahidi kufyeka kichaka. Kafyekwa yeyeMwakakundi mbona simuoni hapo?
Tukifika nusu tu wa 5 afrika.Mwanamakundi aliahidi kufyeka kichaka. Kafyekwa yeye
Kwa hiyo saizi kabaki kuwa mkunja ngumiMwanamakundi aliahidi kufyeka kichaka. Kafyekwa yeye
Hili ndio jina la wale uto inafaa kabisa ulianzishie thread yake kabisa. Hao jamaa hawana hadhi hata ya kuitwa Mwakarobo bali MwakakundiMwakakundi mbona simuoni hapo?
Yanga nae anazo 34 mwambie aweke point za yanga hapo ni ngapi?CAF hawatoi ranking za "ange" na "tuki". CAF wanatoa ranking mwishoni mwa msimu.
Hizo ranking za live update na utabiri hawazitambui ingawa zinafurahisha.
Yanga hawajawahi kuingia top 10 katika ranking yoyote official ya CAF.
Tukiwaambia Kuna vijana wapotoshaji ndio Hawa sasa,baada ya Al hilal kufuzu robo ndio akafikisha point 32, yanga kaishia makundi kafikisha 34, uyu mwehu wa Ghana anajaribu kumuondoa yanga pale juu kwa sababu anazozijua yeye labda kuongeza alama 2 za mfukoni kwake kumpa Al hilal uwezi kujua1. Al Ahly — 73 points [emoji1093]
2. Esperance Sportive de Tunis — 57 points [emoji1249]
3. Mamelodi Sundowns — 52 points [emoji1221]
4. Zamalek SC — 42 points [emoji1093]
5. Wydad Athletic Club — 39 points [emoji1173]
6. Simba SC — 38 points [emoji1241]
7. RS Berkane — 37 points [emoji1173]
8. USM Alger — 37 points [emoji1026]
9. CR Belouizdad — 36 points [emoji1026]
10. Al Hilal — 34 points [emoji1232]
Which position is your team on this list? [emoji102]
Utopolo Mnajiona hapo? Utopolo ni katimu kadogo sana barani afrikaView attachment 3207273