mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Mbona unawivu? kisa hawa wapost daaaa!Habari za muda huu wadau.
Leo nimekuja na swali dogo tu nani anaendesha account za mitandao ya kijamii ya caf? Ni nafasi ya kuomba ama ni nafasi ya teuzi?
Ni hilo tu wakubwa
Hilo Mimi sikua nalijuaYote hayo kwasababu simba inapostiwa sana kuliko yanga kwa hyo na hilo pia mnataka museme karia anahusika.
Habari za muda huu wadau.
Leo nimekuja na swali dogo tu nani anaendesha account za mitandao ya kijamii ya caf? Ni nafasi ya kuomba ama ni nafasi ya teuzi?
Ni hilo tu wakubwa