Official cover ya Antibiotic Music Albam

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,380
1622346282490.png
 
Satoh Hirosh njoo ujipatie nakala halisi ya albam kutoka kwa myama mkali...don the mazafanta.
Mkuu kwani jamaa ni Nani ambaye anamfanyia branding ya kazi zake za music?
Hii picha aliyoweka kwenye Hilo bara la Africa amechana nywele kweli? Alafu ni nyekundu sn utadhani alikuwa anaendesha bodaboda kwenye barabara ya vumbi alafu akaambiwa njoo upige picha🤣🤣

Kwenye hii poster sijui nini kimefanyika asee!!..nimekosa hamu ya kusikilizia hiyo Albam mkuu Stephen Chelu

Jamaa anahitaji msaada,mbn mnamwangalia Tu miaka yote hii mkuu?
 
Umeongea kwa uchungu sana mkuu, tutalifikiria hilo. Ila wakati tukiangalia namna ya kufanya update ni vema ukaburudisha masikio yako kwa track mbili tatu kwenye hii albamu.
 
Don legacy yako itasavaivu vizazi na vizaz nakuonea level za kina 2pac, huko mbele kaza bro hii graph isishuke
 
Mkuu kwani jamaa ni Nani ambaye anamfanyia branding ya kazi zake za music?
Hii picha aliyoweka kwenye Hilo bara la Africa amechana nywele kweli? Alafu ni nyekundu sn utadhani alikuwa anaendesha bodaboda kwenye barabara ya vumbi alafu akaambiwa njoo upige picha🤣🤣

Kwenye hii poster sijui nini kimefanyika asee!!..nimekosa hamu ya kusikilizia hiyo Albam mkuu Stephen Chelu

Jamaa anahitaji msaada,mbn mnamwangalia Tu miaka yote hii mkuu?
hiyo sasa ndo unyama yaani
 
Umeongea kwa uchungu sana mkuu, tutalifikiria hilo. Ila wakati tukiangalia namna ya kufanya update ni vema ukaburudisha masikio yako kwa track mbili tatu kwenye hii albamu.
Asante sn studio..nigongee track namba tatu please
 
Back
Top Bottom