Elections 2010 OFFICIAL: Dr. Shein, Rais mpya wa Zanzibar 2010-2015

Rais wa kwanza wa zanzibar na makamu wake watangazwa!
 
CCM:SHEIN >179809 =50.1%
CUF:SEIF >176338 =49.1%
407658 NDO WALIJIANDIKISHA NA 89%yake NDO WALIPIGA KURA
Majimbo jumla 50 Unguja na Pemba na wagombea wa uraisi walikuwa Saba

Yametangazwa Mbele ya SheiN na Seif kwa kutumia sheria ya 1984 ya uchaguzi
UNDP wameshukuruliwa kwa mchango wao pamoja na JWTZ NA POLICE kwa ulinzi

Source:Tume ya uchaguzi Zanzibar via TBC
 
Duh, Seif kapoteza tena!
 
50.x% Kashinda hivyo Seif ana GUNDU labda ama wameiba nini?
 
Baasa ya hotuba fupi ya shukrani kwa wadau mbali mbali waliohusika katika kufanikisha uchaguzi wa zanzibar hatimaye mshindi alitangazwa:


ALLY MOHAMED SHEIN-179809*(50.1%)

SEIF SHARRIF HAMAD-176338 (49.1%)

Kwa hiyo rais ni Ally Mohamed shein
 
HAbari ndio hii. SHein Ashinda kwa 50.1%
 
Seif kakaribishwa kusema chochote pale mbele ngoja nione. Subirini hapo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…