Official Instagram ya Jay Z

 

Haijawahi kuwekwa wazi kuwa anayeitumia ni yeye au ni shabiki flani ingawa wengi wanaamini ndio official account ila hawataki kuiweka wazi.
 
shukrani mkuu
 
Jay z hana account insta..zipo za funs tu
 
Jay Z mara ya mwisho kutumia ista waziwazi ilikuwa 2015 ambapo alifungua account kwa ajili ya kueleza kuguswa kwake na kifo cha Michael Jackson, baada ya hapo aliifuta account na hana official account nyingine, labda kama kajificha kwa jina jingine ili watu fans wake wasiifahamu.
 
Kwa sasa anatumia account ya Siri ya Kigogo2014
 
Jay z hana account insta hiyo sio yake
 
Daa niliwahi itafuta pia lakini sikuipata,jamaa ni Freemason kweli
 
Jamaa kama JASIRI MUONGOZA NJIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…