Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
Jamaa kama JASIRI MUONGOZA NJIA
twitter anatumia jina gani??Yupo Twitter Ila IG hana kwa sasa
Mnyonyaji Ruge dudubaya ndo anasemagando nani huyo??
inaonekana unamuelewa Sana Red ManLogin • Instagram
Welcome back to Instagram. Sign in to check out what your friends, family & interests have been capturing & sharing around the world.www.instagram.com
Haijawahi kuwekwa wazi kuwa anayeitumia ni yeye au ni shabiki flani ingawa wengi wanaamini ndio official account ila hawataki kuiweka wazi.
[emoji3][emoji3][emoji3] hamna Mungu anainua watu mzeeDaa niliwahi itafuta pia lakini sikuipata,jamaa ni Freemason kweli
Sanaainaonekana unamuelewa Sana Red Man
Yasemwayo yapo,haiwezekani dunia nzima imunyooshee kidole jamaa[emoji3][emoji3][emoji3] hamna Mungu anainua watu mzee
Hana accountMkuu nitafutie account ya Benedict Cumberbatch iwe Insta au Tweeter. Ne mwigizaji aliyecheza muvi ya Doctor strange