brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Mshambuliaji wa klabu ya Azam fc na taifa stars Yahya Zayd miaka 20 amesaini rasmi miaka 3 na klabu ya Ismailia ya Misri . Zayd amesajiliwa kuongeza nguvu kwa klabu hiyo iliyopo kindi C katika ligi ya Mabingwa Africa pamoja miamba Tp Mazembe
Ismailia kupitia ukurasa wake wa Twitter imemtambulisha rasmi Mshambuliaji huyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ismailia kupitia ukurasa wake wa Twitter imemtambulisha rasmi Mshambuliaji huyo.
Sent using Jamii Forums mobile app