Official: Mshambuliaji Yahya Zayd wa Azam asaini Ismailia ya Misri

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Mshambuliaji wa klabu ya Azam fc na taifa stars Yahya Zayd miaka 20 amesaini rasmi miaka 3 na klabu ya Ismailia ya Misri . Zayd amesajiliwa kuongeza nguvu kwa klabu hiyo iliyopo kindi C katika ligi ya Mabingwa Africa pamoja miamba Tp Mazembe
Ismailia kupitia ukurasa wake wa Twitter imemtambulisha rasmi Mshambuliaji huyo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vizuri,naimani atakuja kuisaidia na National Team baada ya kujituma na kupata uzoefu kwenye soka la ushindani huko Misri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chilunda, Himid, Farid na sasa Zayd hongera azam kwa kutambua umuhimu wa wachezaji wa kitanzania kucheza soka la kulipwa nje ya nchi katika ligi na timu zenye ushindani
 
Azam wameonyesha njia nzuri ya vijana wa ktz kupata exposure nje ya Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…