Huku wazee wa Old Trafford wakiendelea kumtazama Louis Van Gaal kwa jicho la 'sack him' na Chelsea wakiwa chini ya kocha wa kumi wa 19 wa kipindi cha mpito mholanzi 'Guus Hiddink' akisaidiana kwa karibu sana na Mbongo mwenzetu 'Didier Drogba'; vijeba vya Etihad vimeonyesha kila dalili ya kunasa saini ya Pep Guardiola baada ya kung'atuka Alianz Arena mwishoni mwa msimu huu.
Japo bado kuthibitishwa rasmi lakini vyanzo vya kuaminika vimethibitisha kuwa Pep Guardiola rasmi atatua Etihad.
Wapenzi na wanazi wa soka, tuendelee kufuatilia!
Safi ...ila angetua MAN UNITED ingekuwa safiiiii sanaaaa.......
hakuna kocha atakayefundisha timu zenye wachezaji wa sasa wa Barcelona na Bayern Munich asipate sifa. huyo Goardiola ajiandae kuondoka kama wenzake. ni kocha aliyedandia mafaniko ya wenzake waliokuwa wametengeneza timu. Time will Tell
Official..
Then unasema ujinga
kichwa cha habar tofaut na habar kamil hii yako ni tetes sio official
".....they will drag you to their level and beat you with experience" Madam, do you want to drag me to your level and beat me with your experience?!
huyu gurdiola alitakiwa aje chelsea tu.
Usituletee mambo ya ushost huku sports... kama ni Tetesi sema ni tetesi sio unasema official kumbe klchopo ndani ni mawazo au tetesi..
100% correct!
Naweza kusema Pep akija England ndio mwisho wa ufalme wake! Time will tell!
Naweza kusema Mou na Sir Alex ndio wababe pekee wa soka la EPL!
kaji.f.rwe kei wewe! Kabla hujaandikiwa kuwa ni official, inaanza kuwa official kwenye minds za wanaokuandikia! Hii ni official ww msengrema wa wapi wewe!
Unamuacha WENGER alyechukua ubingwa bila kufungwa
Ataweza figisufigisu vya chelsea?
hakuna kocha atakayefundisha timu zenye wachezaji wa sasa wa Barcelona na Bayern Munich asipate sifa. huyo Goardiola ajiandae kuondoka kama wenzake. ni kocha aliyedandia mafaniko ya wenzake waliokuwa wametengeneza timu. Time will Tell
Sawa unachokisema ila mkuu kaa ukijua kwamba Guardiola ni kocha wa namna ya kipekee
sana kuwahi kupata kutokea katika soka hasa katika ngazi ya kocha wa klabu.
100% correct!
Naweza kusema Pep akija England ndio mwisho wa ufalme wake! Time will tell!
Naweza kusema Mou na Sir Alex ndio wababe pekee wa soka la EPL!
Mou yupi? Huyu aliyefukuzwa EPL mara mbili?100% correct!
Naweza kusema Pep akija England ndio mwisho wa ufalme wake! Time will tell!
Naweza kusema Mou na Sir Alex ndio wababe pekee wa soka la EPL!