Wangenipa picha yake ningetengeneza NZURI zaidi ya hiyo, tena BURE! Poor design, in my own opinion, lakini kwa Tanzania inatosha. Ni bora mara 100 zaidi ya hiyo ya JK!
Hivi walipokaa kamati na kuchagua picha ya JK, hawakuona kwamba JK akitabasamu na kukenua meno yake anaonekana kwamba ANAWAKEJELI watu? Bora hata meno yasingeonekana. Ninavyomwona mimi, ni kama vile anasema: Angalieni wapuuzi hawa, watanichagua tu!
Hahahaha!
JK, imekula kwako! LOL Hiyo poster itakukosesha kura nyingi sana!