Elections 2010 OFFICIAL RESULTS: CHADEMA yashinda kata 9 Musoma mjini

mudushi

Senior Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
151
Reaction score
86
Habari ambazo nimezipata kutoka musoma ni kuwa Nyerere wa CHADEMA Musoma anaongoza katika kata 14, tena kwa mbali kabisa. Chanzo kinaaminika kabisa. Wananchi wako barabarani kuhakikisha usindi hauporwi. Kazi nzuri wanajeshi wa MSM
 
Mwambie huyo atupe number kamili hapa, pamoja na za uraisi. Maneno tu hayatupi hamasa kubwa
 
Habari ambazo nimezipata kutoka musoma ni kuwa Nyerere wa CHADEMA Musoma anaongoza katika kata 14, tena kwa mbali kabisa. Chanzo kinaaminika kabisa. Wananchi wako barabarani kuhakikisha usindi hauporwi. Kazi nzuri wanajeshi wa MSM

Musoma sina wasiwasi.

Huko usanii hauruhusiwi maana hawaogopi kufa
 
jitahidi upate figure kutoka kwa chanzo chako...
 
Mudushi,asante kwa taarifa, tafadhali zitfutie namba ziwe tamu zaidi
 
Mzee kazi nzuri.
Hebu tupe in figures ili tuwafowadie hao majambazi wajue statistically tunavyotisha!
 
nafuatilia data haafu nazimwaga. MSM wako juuu.
 
Musoma ata bila figures imani yangu haina shaka
 
Rukwa nako chadema anaongoza kwa mbali akifuatiwa na ccm almost kwa half way. Source: Chanel ten
 
Nimefurahi sana kwa hizo taarifa za Musoma ukizingatia na mimi natoka huko (Tarime)!Tunaomba figure kaka,
 
tehe wafipa wote posuta. saafi saana mnanikumbusha miaka ya mwanzo ya themanini niliishi maeneo ya regional block pale nikiwa na umri wa miaka 5 hadi kumi kunasiku bana totoz za kifipa zilikatiza mitaa yetu basi tukawa tunawashangaa hawa kuku wa kienyeji wanatoka wapi huku, basi demu akafuambia eti mnanishangaa mnadhani mtanijua mimi ni bayankata,niliuliza kwa mtu mmoja akaniambia bayankata maana yake ni jua. SASA CCM Wasicheze na bayankata.
 
Hata mie jamaa kaniambia kwamba wameanza kusherehekea mitaani.
 
Ama kweli watanzania wameamka hata vijijini hawaitaki ccm!
 
Sijue nilie sijui nicheke yaani raha tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…