Tehe tehe, hakuna mchezo mura, Kikwete nimeambiwa kuna kata moja kaondoka na kura Moja.Musoma:
Udiwani CCM wamepata kata za Nyasho na Iringo tu nyingine zote Chadema imechuku
Ubunge: hadi sasa tulizojumlisha Nyerere amemzidi Mathayo wa CCM kwa zaidi ya Kura 4000
Urais: Slaa anaongoza kwa mbali sana
Vituo vingi vimekamilrisha uhesabuji matokeo kutangazwa na msimamizi wa jimbo muda wowote kutoka sasa
Musoma:

Habari ambazo nimezipata kutoka musoma ni kuwa Nyerere wa CHADEMA Musoma anaongoza katika kata 14, tena kwa mbali kabisa. Chanzo kinaaminika kabisa. Wananchi wako barabarani kuhakikisha usindi hauporwi. Kazi nzuri wanajeshi wa MSM
Bandika takwimu hapa ndugu yangu...........
Habari ambazo nimezipata kutoka musoma ni kuwa Nyerere wa CHADEMA Musoma anaongoza katika kata 14, tena kwa mbali kabisa. Chanzo kinaaminika kabisa. Wananchi wako barabarani kuhakikisha usindi hauporwi. Kazi nzuri wanajeshi wa MSM
Rukwa nako chadema anaongoza kwa mbali akifuatiwa na ccm almost kwa half way. Source: Chanel ten
Yaani hata mimi nashindwa nifanyeje-coz furaha ii pomoni!!!!!!!!!!!!!Sijue nilie sijui nicheke yaani raha tupu
TARIME Mgombea wa CHADEMA ameshinda kwa kura elfu 21 dhidi ya CCM kura elfu kumi na nne na imeshuchukua robo tatu ya udiwani, hii imeshantangazwa i.e ni matokea rasmi.Bandika takwimu hapa ndugu yangu...........
asante kwa taarifu mkuu, alunta continue.
TARIME Mgombea wa CHADEMA ameshinda kwa kura elfu 21 dhidi ya CCM kura elfu kumi na nne na imeshuchukua robo tatu ya udiwani, hii imeshantangazwa i.e ni matokea rasmi.
Source TBC 1 na Star TV