Elections 2010 OFFICIAL RESULTS UDIWANI BUKOBA MJINI: CHADEMA KATA 2, CUF KATA 2 na CCM WABEBA 10

wihanzi

Member
Joined
Feb 10, 2009
Posts
62
Reaction score
3
Matoke rasmi ni kwamba CCM wameshinda madiwani wengi bukoba mjini (KATA 10) na hivyo kuunda baraza la kata wakati CUF na CHADEMA wamepata kata 2 kila mmoja.

Matokeo ya ubunge mpaka saa nane jioni

Matokeo ya udiwani yamethibitishwa na msimamizi wa uchaguzi

source: ITV
 
congratulations to all the winners, and the losers should remember it is not the end of the road yet.................voters' voice ought to be respected.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…