rudia kusoma ulichoandikaCassemiro atakuwa anasumbuliwa na pijanic hapo tena na ambavyo hajui kupiga pass namuonea huruma sana
Nilikuwa nakusubiria maana nilijua lazima utairudia hii comment. Hongereni wakuu. Jana RMA wamenikumbusha movie flani miaka ya nyuma inaitwa "The Hard way, The only way" na ndivyo ilivyokuwa na it worked. Hongereni.
Muda huu nafikiria UEFA Super Cup timu yangu ya Man Utd kweli Smalling na Jones wataweza kuwazuia hawa jamaa, au ndo mambo ya kuanza msimu kwa aibu haya.
Kasome kwenye page ya Man-U twitter...jana niliona wamechanganyikiwa wenzako Ooh!...Mara inabidi tumsajili BALE NA JAMES Kabla hatujacheza nao kwenye SuperCup...Mara inabidi Mou aweke 6-Defenders,Hahaha!..ngoja tusubiri mkuu...si unajua RONALDO ANATAKA BALLON D'OR MWISHON MWA MWAKA LAZIMA AWAUMIZE YULE NA LAZIMA MADRID ATOBOE ILI AKACHUKUE FIFA CLUB WORLD CUP...Mhhh!
View attachment 519073
View attachment 519074
View attachment 519075
View attachment 519076
View attachment 519077
View attachment 519079
View attachment 519080