Official Zungu tulimsihi aache uchawa ona sasa anatukana, ATCL wamemsomesha namba kidogo tu

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
GT

Huyu dogo alijitia ujuaji sana wakati sisi tunaikosoa serikali kwa maovu yeye kajitia ujuaji na kuitetea.

Sasa jana ATCL wamemsomesha namba kidogo tu na kuanza kutoa mapovu je ataomba msamaha kwa ATCL ngoja tusubiri...

Na akae akijua haya ndo madhira wanayopitia watanzania wa kawaida kila siku kwa nini wasiwe na hasira na maCCM.

Your browser is not able to display this video.
 
Takataka kama hizi hupasi hata kuposti ujinga wao hapa. Ukifanya hivi walivyo wajinga wanajiona ni maarufu. Wanasema ''chochote nachozungumza ni habari''
 
Hawa wapuuzi mpaka kiwatokee wao ndo waje na kauli za kuendana na wananchi wa kawaida mtaani.

Ngoja wakamfir3 kama Roma alivyofanyiwa Ndio atulie.
 
ndege imeshikiliwa zanzibar ikisubiri safari ya ''raisi'' cha ajabu juzi kati wamenunua ndege mpya ya ''raisi'' lkn haitumii anachukuwa dreamliner yetu iliyonunuliwa kuhudumia abiria ...
 
ndege imeshikiliwa zanzibar ikisubiri safari ya ''raisi'' cha ajabu juzi kati wamenunua ndege mpya ya ''raisi'' lkn haitumii anachukuwa dreamliner yetu iliyonunuliwa kuhudumia abiria ...
Itakua imefata wachezaji wa kimataifa simba na Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…