Officially nampitisha Harmonize kama msanii bora 2018

Kuna watu waliopewa hela kariakoo ndo wanampigia debe hapa ila si mbaya
 
Apunguze sifa za kimama.....napenda nyimbo zake ye mwenyewe simpendi
 
Ni moja ya masanii ambaye sijawai elewa anachoimba..
Simtofautishi na sjui luludiva,maromboso,lavalava,saida kaloli nk nk
Yaani harmonize kama saida karoli!??? Ama kweliiiii[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Hana hata mtu wa kumsaidia kuhakiki lugha? WIMBO MKUBWA HALAFU , UNAKWENDA STUDIO, UNATAMKA " BENDELA" badala ya BENDERA halafu produzer anaona poa tuu mpaka anautoa hako kakosa cha kijinga kinachokera kwenye masikio ya wasikilizaji hakukiona? wakati anafanya edditing na mixing suala la lugha hakujua lina umuhimu?
 
Tuseme kamfunika yule bwana mswahili mswahili anayejiuma uma kwenye intaviu sijui anaitwa kingi nani vile???[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmh ndugu ume mmblame bure tu, coz Kwa kuzingatia kazi ya msanii anaruhusiwa outbreak up grammatical rules ili kufikish intended message
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…