"Offside trap" mbinu inayotumiwa na Barcelona Fc kudhibiti wachezaji tishio duniani, mpaka sasa hakuna kocha mwenye mwarobaini wa kuizuia

***** Hii offside trap defensive approach ni next level.... Watu watateseka sana msimu huu,

Hapa Sasa hivi Espanyol wamefunga goli, ile wanamaliza kushangilia tu VAR inawakata

Na wameshakula 3 mpaka dk hii na ndio kwanza kipindi Cha pili linaanza.
 
Aaaah aah Espanyol wametoka kutia tena goli ni offside.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…