LINCOLINMTZA
JF-Expert Member
- Mar 15, 2011
- 1,639
- 519
Ndugu yangu tukijadili hapa nchi itaanguka sasa hivi! Jamaa katimka mwaka sasa ndo inakuja leo?
Tukiwaambia nji ngumu hii hamsikii na nyinyiemu yenu!
Na project plans amabzo zinaanza fanyika nazo mtaflush wakati jamaa keshawepelekea hadi map, na size?Kwani lazima uwe ngerengere ili upate docuemnetion , na plans za extention?Kw ataarifa yako kuna report nyingi sana zipo well detailed za project mpya hulu ziielezea zilizopo. majeshi yetu yanatembea nazo ktk laptops, tena wanaancha kwa vile wanajua watu wanawaogopa sana, na hata huwapa mafunsi kibaduzi hivyo hivyo km wafanyavyo kikabila humo ktk majeshi..Madai yao watu wa kaskazini hawastahili kuwa majeshi,usalama wa taifa etc..sasa wekeni majinga ..mshuhudie haya..mijitu inapigwa na wake zao na ubabe wao wote, ni vipi sasa watazuia wife asipoteze docs?
Sijui taasis ngapi bongo zinauza used deviced bila kutoa n akuharibu memmory km hard disks.
Angefikia cheo cha Brigedia Jenerali ningehofia sana Mkuu, Luteni Kanali ni Askari mwenye Nyota Mbili. Hata wewe ukiwa na Degree unaanzia Cheo hiko ndani ya JWTZ. Huyu Askari amekimbia mapema sana, bora amekimbia akiwa na hiko cheo. Bado nafikiria kilichomkimbiza.
Hebu tuisadie serikali kama kwenye madawa ya kulevya. Tutaje hawa wanyarwanda na nyadhifa zao ndani ya taifa.
Yes, your are right! All the above questions have to be answered analytically!
Snowden Episode two
Angefikia cheo cha Brigedia Jenerali ningehofia sana Mkuu, Luteni Kanali ni Askari mwenye Nyota Mbili. Hata wewe ukiwa na Degree unaanzia Cheo hiko ndani ya JWTZ. Huyu Askari amekimbia mapema sana, bora amekimbia akiwa na hiko cheo. Bado nafikiria kilichomkimbiza.
Mipaka ya Nchi yangu imechorwa Mioyoni mwetu na Siyo Aridhini-Sio rahisi kwa nchi yenye makabila 200 na zaidi kuwa na Taifa imara lenye uzalendo!Pita TRA,Bank Kuu,Mabalozi wetu huezi pata taabu kujua aina ya Taifa hili-
Kila mtu analipa kodi lakini kuna mikoa huduma muhimu zipozipo mingine Olaa!Hakuna utartibu wa kumpongezana tunasubiri kufahamiana siku ya majanga tu- binafsi sijapata kusikia Rais amekutana au ametoa nishani kwa Mwalimu bora,Daktari shujaa au Injinia kwa kazi zao bora badala yake utasikia habari za wasanii,mateja n.k.Sijui tutafika lini?

Jeshi hapo linawanyawanya juu ya Siri hizo itakuwa ni zile za Tanzania kuingia kichwa kichwa Congo... pengine kuna kitu hapo na siri zikianikwa ni mwaka mpya wa Kuumbuana huu umefikia.... Wamemwaga Mboga sasa Ugali ndio unaofuata.... Chezea Kagame wewe ukijifanya Jeuri mwenzako anakufanyia Kusudi.....
Oye oye oye hule hule hule.... Atoe na Siri za Mtwara kabisa ... Mwaka huu Tutajua Mengi
Dah! Kama alikuwa anafanyia ktk kitengo cha IT we are finished
Duh! Kumbe Mchungaji Mtikila alisema kweli.
Naona Kagame yupo serious sana na program yake ndani ya Tanzania kuna mwingine ametimuliwa miaka kama miwili tu iliyopita kutoka pale DUCE. Kwahakika hawa jamaa wapo kwenye kila taasisi ya Tanzania, nashangaa ni kwanini watanzania hatujawa na uwezo wa kupenyeza intelligence yetu nchi za nchi lakini Kagame kawajaza kila mahali kiasi cha kwamba wanaua yeyote wanayemtaka kwa muda wanaojisikia kana kwamba wapo nchini kwao, kama walivyofanya kwa Prof. Mwaikusa. Sina shaka kwamba Kagame anajua kwamba ana timu ya kutosha ndani ya jeshi la Tanzania ndiyo maana anajivuna kwamba atampiga Kikwete.
Hakuna kitu hapo huyo ofisa hawezi kuwa na jipya ht km akikimbia na nini
Sijui kwa nini 'kipeperushi' hiki Mtz J.pili kinapenda kukuza suala la rwanda. Kila wiki kagame kagame. Hamna kingine cha kuandika?