Poleni na Tozo mbali mbali ma bibi na mabwana.
Katika harakati za kila siku, unaweza jikuta upo katika ofisi, Eneo la Kazi ,au Eneo la biashara fulani. Basi ukajikuta umebanwa na haja either ndogo au kubwa na ukaomba uende maliwatoni. Ghafla baada ya kufika OFISI KUU hio ukakuta hadhi ya jina la Eneo au Nature ya Service wanayo fanya haiendani kabisa na OFISI KUU.
Binafsi nlikua Hospitali furani ya mkoa, sasa bwana tumbo lilipo vuruga nkaona nkafanye Excretion OFISI KUU😎.
Kufika huko ni balaa tupu kwanza OFISI haina ma Sink ya maji, na Rangi ya ndoo za ile OFISI Hahaha(niishie apo).
Ni ofisi gani umeshawahi fika, ukakuta OFISI KUU haina hadhi sawa na watu wanao fanya kazi humo au jina la Taasisi (Code za Taasisi zitumike)
Uzi hauna Picha kuepuka watu wasi tapike😇