U can google.
Kwa kifupi ILO kwa Tanzania wanasaidia katika kuhakikisha utatu (TRIPATITISM) ule wa Trade Unions, Government na Employers Association unafanya kazi barabara ile kuwepo na maelewano mazuri katika mahusiano ya kazi/ajira.Lengo n kulinda ajira zenye staha, zenye kuzingatia misingi ya haki za binadamu na urari wa jinsia.Baadhi ya programme zao ni pamoja na kupambana na Ajira mbaya za watoto, kuwepo na ajira nyingi na bora, kuwepo na ajira decent kwa wanawake na vijana etc.
Wanafanya kazi kwa karibu sana na Wizara za Kazi na ajira BARA na ZNZ, TUCTA,ATE na sekta binafsi ikiwemo mashamba makubwa ( plantations) etc.Kwa uchache sana.