House4Rent Ofisi inakodishwa Kijitonyama

RAD

Member
Joined
Jan 3, 2013
Posts
18
Reaction score
8
Kwa yule anayehitaji ofisi Kijitonyama. Ina hali nzuri na kiyoyozi inakodishwa kwa bei nafuu. Kwa maelezo zaidi Nitafute kwa namba hii 0719040659.
 
Karibu na shule ya primary kijitonyama.

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu RAD kwani bei nafuu ndo sh. ngapi? Kwanini usiweke full details ikawa open kwa kila mtu kuliko kila mtu kukutafuta?
 
Na Mimi natafuta ofisi..hasa fremu zilizoshindwa kupangishwa due to location issues...
 
1. Nenda kinondoni kwa kutumia mwendokasi, ukishashuka kwenye mwendokasi, vuka upande wa kushoto kwako, uliza/nenda hadi kwa dr mvungi hospital, ukifika ingia kulia.
Baada ya hapo uliza nyama ya mbuzi wanauza wapi? Watakuelekeza kwa Shirima, ukiwa hapo kwa Shirima muuza nyama ya mbuzi, angalia upande wa juu kuna hiyo fremu inapangishwa (ina namba za simu), je inakufaa?
2 nenda bar ya MK ukitokea studio, sogea mbele kidogo ingia kulia, tembea sekunde 15 utaona fremu upande wako wa kulia, inapangiswa hiyo.
 
Nashuka wapi? Manyanya, studio au??
 
Ukitaka kwenda fremu iliyo jirani na MK bar, shuka studio halafu tembea kwa miguu hadi MK.
Ukitakakwenda fremu ya jirani na dk Mvungi, shukia Kinondoni B, utaona jengo la ghorofa 3 kwa chini lina kama rangi ya matofali yaliyochomwa, nenda upande wa chini utaona frem yenyewe, ni ya tano kutokea kulia, ila ni ndogo.Niko mahakani, nikititoka nitachukua namba mlangoni, hii hapa nishaipata 0754745797
 
Ubarikiwe sana mkuu
 
Back
Top Bottom