Msambaa mkweli
JF-Expert Member
- Dec 31, 2011
- 338
- 427
Wasaidizi wa JPM wapo makini.... wameshafanya maamuzi....Wamuite mzee wa mitano tenaaaaa awasuluhishe.
Hakika mkuu bado kumtawaza tu awe mfalme wetu mpya,mitano tena mwanawaneeeee.Wasaidizi wa JPM wapo makini.... wameshafanya maamuzi....
Kiongozi unatisha.....😀😀 tupo pamoja..Wizard inaongoza maridhiano??
Ingekuwa waamuni wa kiislam wanafukuza shekhe wa Bakwata??Wizara ingepeleka mabomu ya machozi na polisi???
Kwa habari nilizozipata, leo hii 13/11/2020 zinaeleza kwamba Ofisi Kuu za Kanisa la KKKT (DKMS-KKKT) zilizopo Tanga katika wilaya ya Lushoto zinatarajiwa kufunguliwa tena
Ufunguzi huo utafanywa na Askofu Mkuu wa KKKT Dr. Shoo hii ni baada ya maridhiano kati ya Waumini na Uongozi wa Askofu Munga ambao wamekubaliana kwamba muda wa Askofu Munga kuongoza umekwisha kikatiba na mpaka sasa siyo Askofu halali.
Hali hiyo ilipelekea hatua mbalimbali kuchukuliwa na waaumini ikiwemo kufunga ofisi ya Askofu.
Sahihi sana... kiongozi....Makanisa ya siku hizi siyo kwaajili ya imani tena ni uroho wa madaraka na tamaa ya pesa, inatupasa kuanzisha makanisa yenye nia ya kumtumikia Mungu bila malipo kama alivyofanya Yesu