Alijitahidi kuwapata walimu wapya aliowapangia sehemu za karibu karibu, operatio ilikuwa ukipata karibu unatoa tunda, evoduius huyo, na wakubwa wanajua wanamuangalia anakula wake zetu. maanina
Chuki binafsi, "I judge like this, because the way you have reported it" lakini lisimwelo lipo, labda nami ashanichapia wangu kudadeki zake nafanya upelelezi then namnyopoa kidude chake
Hii ndo serikali ya CCM yenye utitiri wa watendaji wabovu.Huyo DEO wa B'moyo anafaa kuwekea tego.Bukoba manispaa nako kuna DEO anayawapendelea walimu wahaya wenzake kwa kuwapa fursa mbalimbali akiwabagua walimu wasio wahaya.