Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Japo inaendeshwa kwa fedha ya walipa kodi wengi maskini na wanyonge, ofisi ya Mwendesha Mashitaka mkuu wa Serikali (DPP) ni chombo au zana yenye kila ukoloni na uvunjaji wa sheria hasa kuwa na kile kisheria huitwa discretionary powers au mamlaka yasiyohojika.
DPP anaweza kutumiwa na watawala wabovu kuwaonea wapinzani wao kama ambavyo imejitokeza juzi kwenye skandali ya Dk Willibrord Slaa. Inakuwaje nchi huru iwe na taasisi inayoweza kutumia sheria itakavyo na iwe salama?
Licha ya kutumika kuwakandamiza hata kuwakomesha wapinzani, haiwezi kutumika kuwaachia huru wahalifu wenye uhusiano au kutumiwa na wakubwa?
Namuonea huruma classmate wangu Silvester Anthony Mwakitalu
Kama wenye nchi, kama kweli ni wenye nchi kama tunavyoambiwa, kwanini tusiwabane na kuwaagiza wabunge wetu wakabadili ofisi hii haramu na hatari?