kuntakinte9320
Member
- Nov 28, 2024
- 7
- 9
Kaka hakuna anaekataa kulipa ada ya taka changamoto ni kuambiwa kulipa ya mwaka mzima inaingia akiliniWale hawalipwi mishahara! Ni kubanana na sisi humo humo!
Kama takataka zinasombwa akina mama toeni! 3000 per month ni ndogo mno.
Mkuu wangu hapa chamazi ni familia ya kambare kila mtu ni tembo wanakamata watu majumbani kwao na mgambo wanawatishia polisi na wala hawawapeleki mfano juzi wamemkamata mdada anaumwa Ulcers na katoka hospital na dawa zake wamemfungia ndani toka saa 4 mpk saa 10 akazidiwa aka collapse wakampeleka hospitali wakatoa elfu 60 issue hiyo imetokea na hata wakitaka mashaidi mm nikiwemo nitakujaAlafu wanafikiri , kuumiza watu ndiyo uongozi , niliumia sana yaani ofisi inakuwa ni sehemu yakuumizia watu wakati ni sehemu ya kuweka suluhu , mtu anaamua kwa mamlaka aliyonayo kukuhumu bila sababu za msingi , Viongozi watambue uongozi ni daraja tu kuna siku utapita ,kabla yako kumbuka alikuwepo mwingine kabla yako,
Pia serikali kuu ipende kuzungukia hizi wilaya chipukizi , wilaya nyingi zinagubikwa na changamoto na manyanyaso kwa wananchi wao ,alafu ni maamuzi yao binafsi hata kituo cha polisi huwezi kukuta wakitesa watu kizembe.
Poleni kama mko mjini na bado changamoto hazifanyiwi kazi basi serikali yetu ndo yenye shida haswa , Kule Kagera Wilaya ya Kyerwa nilichokutana nacho ni hatari zaidi .Mkuu wangu hapa chamazi ni familia ya kambare kila mtu ni tembo wanakamata watu majumbani kwao na mgambo wanawatishia polisi na wala hawawapeleki mfano juzi wamemkamata mdada anaumwa Ulcers na katoka hospital na dawa zake wamemfungia ndani toka saa 4 mpk saa 10 akazidiwa aka collapse wakampeleka hospitali wakatoa elfu 60 issue hiyo imetokea na hata wakitaka mashaidi mm nikiwemo nitakuja