Hassan J. Mosoka
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 682
- 323
Mheshimiwa hapa hoja sio kugombania furniture na kama unadhani kauli hii itaufuta ukweli wa aibu inayofanywa na wana ccm hauipenda ccm na tena unaisaliti. Hawa watu wamezidi kukipotezea chama credibility mzee. Kuna jambo muhimu sana hapa. Who is the owner of the MP's offices in Tanzania?? NI muhimu kujua Mbunge sio Masha Wenje wala Mbega, Mbunge ni title inayoshemiwa na inayolinda maslahi ya umma. Hatutarajii Title hii iwe mali ya mtu kama unavyotaka kutuaminisha. Title hii ina ofisi na budget yake. Masha kwa kitendo chake ni zaidi ya mwizi ni mhaini wa nyaraka za nchi,Nyamagana sasa anzeni kazi ya kujenga jimbo. Acheni porojo za hapa na pale. Wenzenu Arusha wameanza kazi, Ubungo tumepata vipaumbele vyao. Nyinyi mnagombania furniture. Mbunge mpya unatia aibu.
Demu ni suala la binafsi ingawa pia watu wastarabu hawadai kitu unaishia kimya kimya. OFISI YA MBUNGE NI MALI YA UMMA WA WATU INAYOLINDA MASLAHI YA UMMA. Kama kila mbunge akinunua furniture zake na kuondoka nazo then Ubunge hautakuwa na maana yoyote katika taifambona mnamsakama sana huyu mkuu! hujawahi kuwa na demu halafu mkiachana unadai vitu vyako ulivyo mhonga
<br />Aibu!! Sijui anavipeleka wapi.....
Ndugu zangu nimepatwa na mshangao mkubwa kuona aliyekuwa WAZIRI WA MAMBO YA NDANI (USALAMA WA RAIA) na mwanasheria kwa taaluma kuondoka na samani za OFISI YA MBUNGE WA BUNGE LA JMT.
Naomba kusaidiwa tu kujua je amechukuliwa hatua gani na serikali kwa kupora mali ya Umma? CCM kama chama wamemchukulia hatua gani kwa aibu aliyokiletea chama?
Kama huyu ndiye alikuwa analinda usalama na mali zetu Je tuna hakika gani kuwa ametuacha salama kama taifa?,
Naomba mnisaidie kuelewa hayo tu kwa leo
Ofisi ya Mbunge ni mali ya nani??? Alinunua kwa hela yake kwani hiyo furniture ya nyumbani kwake?? huyo ni kibaka kama wale wa Stand kwa kosa alilofanyaAlisema alivinunua kwa pesa zake, case closed!