Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam ihamishiwe Posta, pale ilipo ni pa ovyo

Mdukuzii

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2022
Posts
2,552
Reaction score
6,422
Serikali imehamia Dodoma, na jengo mengi ya serikali jijini DSM ni mapango ya popo.

Kwanini serikali isitoe jengo hata moja tukapata ofisi ya RC yenye hadhi ya jiji bora kabisa East and Central Africa?

Pale Ilala pa ovyo sana, parking hakuna, ukumbi wa mikutano mdogo, pako exposed sana.
 
Ushauri wa matumizi ya hovyo ya Kodi zetu.
 
Nchi hii ina vijana wa hovyo sana
Kuna watu wanajua Tanzania ni dar tu
Hivi sisi wa gugambwige mnatuonaje
Vijana wa sampuli hii wana mchango mdogo sana kwa maendeleo ya taifa
 
Alikarabati ofisi yake kwa ndani ila nje pa ovyo sana,hata mi niko huku kizuramimba nimepita tu jijini nikielekea sukamahela
Nimekuelewa mkuu, nikiuza mbaazi zangu nami nije nioshe macho huko Daslam, ila nasikia kuna panya rod
 
Nchi hii ina vijana wa hovyo sana
Kuna watu wanajua Tanzania ni dar tu
Hivi sisi wa gugambwige mnatuonaje
Vijana wa sampuli hii wana mchango mdogo sana kwa maendeleo ya taifa
Huko mliko ni misukule tu hamna mchango kwa nchi yetu kaeni kimya.jogoo la shamba huliwa mjini
 
Serikali imehamia Dodoma, na jengo mengi ya serikali jijini DSM ni mapango ya popo.

Kwanini serikali isitoe jengo hata moja tukapata ofisi ya RC yenye hadhi ya jiji bora kabisa East and Central Africa?

Pale Ilala pa ovyo sana, parking hakuna, ukumbi wa mikutano mdogo, pako exposed sana.
Kiukweli pako hovyo Sana Sana, waihamishie hata maeneo ya kule tegeta hiwe nje ya mji
 
Serikali imehamia Dodoma, na jengo mengi ya serikali jijini DSM ni mapango ya popo.

Kwanini serikali isitoe jengo hata moja tukapata ofisi ya RC yenye hadhi ya jiji bora kabisa East and Central Africa?

Pale Ilala pa ovyo sana, parking hakuna, ukumbi wa mikutano mdogo, pako exposed sana.
Mkuu umezoea vya kutengenezewa.
Ofisi ile ni ya wananchi wa Dar miaka nenda rudi.
Pale ilipo haswa ni penyewe, wasizoee kutengenezewa madhari na watengeneze wenyewe hapohapo.
 
Back
Top Bottom