Ofisi ya msajili wa vizazi na vifo(RITA) ni waongo au shida iko wapi?

Ofisi ya msajili wa vizazi na vifo(RITA) ni waongo au shida iko wapi?

GOSSO MZEKEZEKE

Senior Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
180
Reaction score
204
Habari

Niliomba vyeti mbali kupitia system yao ijulikanayo kama RITA ONLINE, nimeomba toka mwezi November na leo Januari sijajibiwa, wanasema tu payment received, Payment status, ukiwauliza wanasema wanajibu baada ya siku 10 za kazi

Sasa nina zaidi ya mwezi hakuna progress yoyote, na ni zaid ya mwezi, nimeomba cheti za kuzaliwa na document nime-attach lakini hakuna kilichojibiwa mpaka sasa.

Shida iko wapi? Mnaofanya kazi RITA pookeeni malalamiko haya mfikishe mahali husika.
 
Back
Top Bottom