Wanataka kuleta mauaji tenaNimeiona barua ya msajili akiitaka Chadema ijieleze kuhusiana na matamshi kadhaa iliyoyatamka baada ya kufunguliwa kufanya shughuri za siasa.
Kujifanya kiranja wa vyama vya siasa na kufanya kazi kwa upendeleo kwa ofisi hii kulichangia kwa kiasi kikubwa mauaji ya Oktoba 29.
Kwasisi 'wengine' mtanielewa baadae, tunaipongeza ofisi ya msajili ili tuone panapovuja na alitoboa bati.
Wazungu wanasema "Never interrupt your enemy when he is making a mistake."
ni muhimu sana kwa msajili wa vyama vya siasa nchini kuchuku hatua kali za kisheria kwa vyama vya siasa vyote vinavyokiuka sheria na masharti ya usajili wao.Nimeiona barua ya msajili akiitaka Chadema ijieleze kuhusiana na matamshi kadhaa iliyoyatamka baada ya kufunguliwa kufanya shughuri za siasa.
Kujifanya kiranja wa vyama vya siasa na kufanya kazi kwa upendeleo kwa ofisi hii kulichangia kwa kiasi kikubwa mauaji ya Oktoba 29.
Kwasisi 'wengine' mtanielewa baadae, tunaipongeza ofisi ya msajili ili tuone panapovuja na alitoboa bati.
Wazungu wanasema "Never interrupt your enemy when he is making a mistake."
Nakuunga mkono Chadema ifutwe.ni muhimu sana kwa msajili wa vyama vya siasa nchini kuchuku hatua kali za kisheria kwa vyama vya siasa vyote vinavyokiuka sheria na masharti ya usajili wao.
na ikiwezekana vyama hivyo vifutwe mara moja kwa mujibu wa sheria za nchi.
hakuna haja ya kigugumizi wala kubabaika na hilo hata kidogo.
Yes,Nakuunga mkono Chadema ifutwe.
Mbona mnazunguka mbali kwa vijisababu vidogo vidogo wakati sababu kubwa ya Chadema ni cha kigaidi mnayo.Yes,
ifutwe tu kwa mujibu wa sheria maana hakuna namna nyingine ya kuiadabaisha na kuishikisha adabu
unaweza kufunguka zaidi gentleman?Mbona mnazunguka mbali kwa vijisababu vidogo vidogo wakati sababu kubwa ya Chadema ni cha kigaidi mnayo.
Nimeiona barua ya msajili akiitaka Chadema ijieleze kuhusiana na matamshi kadhaa iliyoyatamka baada ya kufunguliwa kufanya shughuri za siasa.
Kujifanya kiranja wa vyama vya siasa na kufanya kazi kwa upendeleo kwa ofisi hii kulichangia kwa kiasi kikubwa mauaji ya Oktoba 29.
Kwasisi 'wengine' mtanielewa baadae, tunaipongeza ofisi ya msajili ili tuone panapovuja na aliyetoboa bati.
Wazungu wanasema "Never interrupt your enemy when he is making a mistake."
Soma pia Msajili wa Vyama vya Siasa Ailima barua CHADEMA na kuipa Siku 13 Kujieleza Dhidi ya Tuhuma za Ukiukwaji wa Sheria ya Vyama vya Siasa
Nani anayechelewesha kukifuta.unaweza kufunguka zaidi gentleman?
mbona naona kama vile una mambo unataka kuyaeleza zaidi?
be free plz,
hata hivyo,
chama cha siasa kisichofuata misingi ya usajili wake na kinachokiuka sheria za nchi kifutwe bila kucheleweshwa na itapendeza sana gentleman.
hakuna haja ya kumbwelmbwela.
calm down gentleman,Nani anayechelewesha kukifuta.
Ni sawa na baba mwenye nyumba kuzidiwa na familia na hasira kuishia kwa watoto au housegirl.Unapo shindwa kutatua matatizo yanayo kukabili na kuanza kuhangaika na mtu anae kukosoa huku ni kukosa busara na moja ya ishara ya upumbavu.
Sheria huwa haisubiri muda mwafaka, wakati unasubiri muda mwafaka tukio kubwa zaidi linatokea.calm down gentleman,
chama kinachokiuka sheria kifutwe kwa wakati muafaka
UNCLE Tni muhimu sana kwa msajili wa vyama vya siasa nchini kuchuku hatua kali za kisheria kwa vyama vya siasa vyote vinavyokiuka sheria na masharti ya usajili wao.
na ikiwezekana vyama hivyo vifutwe mara moja kwa mujibu wa sheria za nchi.
hakuna haja ya kigugumizi wala kubabaika na hilo hata kidogo.
calm down mfuata mkumbo hasa unapokua pointlessUNCLE T
Wewe michezo unayofanyiwa na wenzako tunaijua...
ohh kumbe,Sheria huwa haisubiri muda mwafaka, wakati unasubiri muda mwafaka tukio kubwa zaidi linatokea.
Wewe unaona matusi kama matukio makubwa ya kitaifa, ila kwa level ya akili yako upo sahihi.ohh kumbe,
ndio matukio hayo ya kuropoka na kuporomosha matusi kwa viongozi wa chadema taifa dhidi ya vyama vya siasa vyenye maoni tofauti ya nonsense chadema, right gentleman?