Gentleman,Wewe unaona matusi kama matukio makubwa ya kitaifa, ila kwa level ya akili yako upo sahihi.
Umeumizwa na matusi kuliko vifo 518 vya Chande.Gentleman,
kwani agenda kuu ya chadema si kuporomosha matusi mazitomazito kupitia mitandao ya kijamii na mikutano ya hadhara?
kwani kuna agenda ingine zaidi ya hiyo?
huenda baadhi ya AZAKI na chadema kwa ujumla wake ndio wanaweza kua wameumizwa zaidi na vifo hivyo vichache vya wananchi wasio na hatia, wakati matarajio ya AZAKI na Chadema yalikua ni kuchochea na kusababisha maafa na vifo vya mamilioni ya waTanzania.Umeumizwa na matusi kuliko vifo 518 vya Chande.
UKISEMA CHADEMA NI CHAMA CHA KIGAIDI KILICHOPO NDANI YA TAIFA LETU.JE, TULIRUHUSU VIP MAGAIDI KUINGIA NDANI YA CHAMA? TANZANIA NI MVUMO WA VYAMA VYINGI..CHAMA TAWALA VS VYAMA VYA UPINZANI, JE HIKI CHAMA CHA MAGAIDI KIPO KWA MUJIBU WA IBARA YA NGAPI? HEBU MSITUONE SISI WANANCHI NI WAJINGA..Mbona mnazunguka mbali kwa vijisababu vidogo vidogo wakati sababu kubwa ya Chadema ni cha kigaidi mnayo.