kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Taifa linawatafuta akina Jaji Samata wa Leo Lakini awaonekani, tunatafuta wakina Waryoba no where to be seen. Nadhani makosa yanatokana na mfumo wa kupata majaji, mfumo wa kupandisha vyeo mahakimu na mfumo wa Mahakama kujitaftia Uhuru wake pamoja na mfumo wa kupandisha vyeo mawakili wa serikali ambao wengi wao ufika juu na kupata ujaji. Kupandisha vyeo Kwa sababu TU miaka imefika kunaua utumishi wa umma, mawakili wanaahirisha kesi for years Kwa sababu hata asipotimiza wajibu wake salary na benefits nyingine zipo palepale.
Kwa upande wa pili lipo tatizo la mwendesha mashtaka kushindwa kutengeneza Watu wakusimamia maslahi ya Taifa, Mawakili Wapo too relaxed. Ninazo kesi Arusha zina miaka minne Hadi mitano na ushahidi ulikamilika few days baada ya watuhumiwa kukamatwa Lakini Kwa miaka minne Mawakili wa serikali wanaahirisha kesi ushahidi haujakamilika. Huu ni mfano wa aina ya Mawakili wa serikali tulionao, IPO siku mahakamani unakuta kesi zote zimeahirishwa mapema kabisa then wanaingia vijiweni na hakuna anayehoji upande wa mahakama wala upande wa mwendesha mashtaka. Naanza kuelewa kwamba ofisi Hii IPO Kwa ajili ya wanasiasa Siyo Kwa ajili ya Wananchi wa chini. Haiwezekani kesi ya mwanasiasa Sabaya ikamilike katika ngazi ya mahakama ya chini na mahakama ya rufani ndani ya mwaka mmoja na mahabusu wamejaa ndani ushahidi haujakamilika Kwa miaka mitano. Haiwezekani kwenye kesi ya sabaya Mhe. Jaji awaonye ofisi ya mwendesha mashtaka kwa kuairisha kesi Kila siku Lakini mahakimu na Jaji Mkuu MWENYE mihimili achukui hatua Kwa kesi za maskini.
Hii ofisi yenye inahitaji reform ya kufikia level ya first inn first out kuondoa upendeleo kisa mtu ana pesa au ni Kiongozi. Lakini pia tujiulize jukumu la Mawakili wa serikali ni kwenda kuahisrisha kesi mahakamani? Polisi wanasema upelelezi umekamilika mawakili wa serikali wanakwenda kuidanganya mahakama upelelez Bado na hakuna anayehoji Hii nguvu yakusema uongo wanatoa kwenye kifungu gani Cha sheria?
Hakuna siku utasikia mahakamani tukiambiwa jalada upelelezi umekamilika tunaandaa jalada Kwa ajili ya kuanza kusikiliza kesi, ukisema unaandaa jalada means hakuna uhitaji wa mwaka ila ukijificha kwenye upelelezi unapata kichaka Cha endless process.....nadhani ni Wakati Sasa wa serikali kuchukua hatua. Hawa Mawakili wanalipwa Kwa Fedha za umma wawajibishwe. Lakini pia viwepo vigezo vipya vya kuwapandisha vyeo. It's sad kukuta principle state attorney hajui hata namna na kumwongoza shahidi and wanajuana kabisa lakini ikifika promosheni yumo. Tuliona kesi ya Mbowe Mawakili walitoka wapi na pamoja na seniority zao tulijifunza uwezo wao ulivyo. Ofisi Hii nikiri imechoka,inahitaji reform na njia Moja Wapo nikubadili vigezo vya kupandishana vyeo,tuweke competency as sifa Moja Wapo.