INAUZWA Ofisi ya PlayStation (Gamecentre) inauzwa

Mr_S

Senior Member
Joined
Apr 2, 2022
Posts
108
Reaction score
89
Nimepata dharura kwahiyo nimeamua kuuza ofisi yangu ya PlayStation (Gamecentre).

Ina vitu vifuatavyo: (kila kitu kimetumika kwa mwezi mmoja)

Bei hazina maongezi (prices are fixed)

1-Sony PlayStation 2 inatoka kwa TSh 100,000 pamoja na memory card, flash, padi mbili na nyaya zote.

2-Sony PlayStation 3 inatoka kwa 280,000 pamoja na padi mbili na nyaya zote.

3-TV (flat) mbili za inchi 24 zinatoka kwa 160,000 kila moja (zote mbili 320,000).

4. Meza mbili (moja kubwa, nyingine ndogo), bei maongezi.

5. Mabenchi mawili makubwa, bei maongezi.

Ofisi ipo Temeke, Dar es salaam.

Kwa maelezo zaidi: 0656 20 30 45
 
Vitu bado vipo wadau
 
Izo hupati wateja ingekuwa PlayStation 4 sawa
 
Unasema havina maongezi lakini mwishoni unaandika 'bei maongezi' so pathetic.
Huwezi kuuza vitu kwa dharura then ukasema bei ni fixed,kwani hapo ni super market?
Sio supermarket
 
Nimepata dharura kwahiyo nimeamua kuuza ofisi yangu ya PlayStation (Gamecentre).

Ina vitu vifuatavyo: (kila kitu kimetumika kwa mwezi mmoja)

Bei hazina maongezi (prices are fixed)

1-Sony PlayStation 2 inatoka kwa TSh 100,000 pamoja na memory card, flash, padi mbili na nyaya zote.

2-Sony PlayStation 3 inatoka kwa 280,000 pamoja na padi mbili na nyaya zote.

3-TV (flat) mbili za inchi 24 zinatoka kwa 160,000 kila moja (zote mbili 320,000).

4. Meza mbili (moja kubwa, nyingine ndogo), bei maongezi.

5. Mabenchi mawili makubwa, bei maongezi.

Ofisi ipo Temeke, Dar es salaam.

Kwa maelezo zaidi: 0656 20 30 45
ungetupia na picha ndugu yangu
 
Back
Top Bottom