Ofisi ya Rais Ikulu wawe na ukurasa wao hapa JamiiForums

Mzalendo120

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2022
Posts
1,842
Reaction score
2,410
Habari za pasaka ndugu wanajukwaa wakati wengine wakiendelea na swaum nawaambia kazi iendelee.

Ninapendekeza ofisi ya Rais Ikulu kupitia kurugenzi ya mawasiliano wawe na ukurasa wao hapa kama kule instagram ili wanajukwaa wajue kinachoendelea hasa teuzi na tenguzi.

Aidha habari za PCCB na ripoti ya CAG zianzishiwe kurasa zake ili hata wananchi tuone kilichomo.

Naomba kuwasilisha.
 
Wamo humu,si muda linatekelezwa.
 
Ili washindwe kuandika mada za kupelekeana moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…