Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyeti hivyo ni vya necta, Rita na na elimu ya juu.
Tunalalamika hakuna ajira kumbe tunafoji vyeti,
Source star tv
Acha porojo zako, ina maana waTanzania wote waliokosa ajira wamefoji vyeti? Mshukuru Mungu hapo ulipo maana atoae ni Mungu lakini kusema kuwa eti tunalalamika hakuna ajira kumbe tunafoji vyeti hauko sahihi hata kidogoVyeti hivyo ni vya necta, Rita na na elimu ya juu.
Tunalalamika hakuna ajira kumbe tunafoji vyeti,
Source star tv
Acha porojo zako, ina maana waTanzania wote waliokosa ajira wamefoji vyeti? Mshukuru Mungu hapo ulipo maana atoae ni Mungu lakini kusema kuwa eti tunalalamika hakuna ajira kumbe tunafoji vyeti hauko sahihi hata kidogo
Well understoodAsa mkuu pole pole, hivyo Vyeti 667 inaawezekana zilikuwa nafasi za watoto wa wakulima, na kusema hivyo haina maana kwamba mimi nawaponda wasio na ajira la hasha Bali nasikitika kuona watu wengine wakizuia nafasi za watu waliosoma kihahali...