LGE2024 Ofisi ya Taifa ya Takwimu: Watanzania wasipotoshwe, walioandikishwa daftari la Mkaazi uchaguzi wa Serikali za Mitaa wote wana sifa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Huyu mama wakati wa Magufuli Kila mwezi takwimu zake za ukuajia wa uchumi unaenda juu kufikia 9% 😂 na mfumuko wa bei ulipungua hadi kufikia 1%😹
Ni mjinga tu atakaye amini mapishi yake ya takwimu.
Atakuwa ni mjane ana msongo wa mawazo
 
Mama Chuwa ni mtakwimu mbobezi. Nchi inajivunia uwepo wake.
 
Chuwa mbona hili halikuhusu kama ambavyo (M)NEC isivyohusika, au unataka kutuambia mlishirikiana kujaza majina mpaka ya wanafunzi! Kumbuka wanafunzi wapo miaka yote lakini hatujawahi kuona wanatoka darasani na mwalimu wao kwenda kuandikishwa kws ujira unaosemekana sh.6,000/=! Na kama ni utetezi mliouzusha mwaka huu kuhusu umri kuwa ni haki mbona wapo wafungwa, mahabusu na wagonjwa hawajapewa haki hiyo japo wana umri mkubwa zaidi! Upigaji kura hauhusiani na sensa, ni hiari ya mtu kujiandikisha na kupiga kura akipenda, kwa mtindo huu wa kujidai kutumia takwimu za sensa mmepanga kuuvuruga uchaguzi, na nadhani ipo kanuni inayolinda takwimu za sensa ambayo nawe unawajibika kuilinda.
 
Pinga kwa takwimu.Takwimu hupingwa kwa takwimu.Huna takwimu.Just shut your mouth.
Zingekuwa takwimu za kweli ningepinga kwa takwimu, sio huo upuuzi.
 
Zingekuwa takwimu za kweli ningepinga kwa takwimu, sio huo upuuzi.
Unajipinga mwenyewe. Takwimu za ukweli utazipingaje na ni ukweli?Hujui hata unaandika nini maskini.Takwimu za uongo unazodai zipinge kwa takwimu zako za ukweli.
Burden of proof ipo kwako kuthibitisha kwamba hizo sio takwimu za ukweli.
 
Unajipinga mwenyewe. Takwimu za ukweli utazipingaje na ni ukweli?Hujui hata unaandika nini maskini.Takwimu za uongo unazodai zipinge kwa takwimu zako za ukweli.
Burden of proof ipo kwako kuthibitisha kwamba hizo sio takwimu za ukweli.
Hebu tulia ww muamini wa wapika data.
 
Ofisi ya Takwimu ya Taifa yageuka kuwa chombo cha chama dola kongwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…