A
Anonymous
Guest
Hii sasa imekuwa kero kubwa kwa wateja wa wanaopata huduma katika Ofisi ya TANESCO Tukuyu.
Mwanzo huduma ya kubadili matumizi ya umeme kutoka matumizi makubwa kwenda madogo ilikuwa inatolewa ndani ya mwezi mmoja tu ukipeleka maombi.
Ni zaidi ya mwaka sasa kumekuwa na umakusudi wa kuchelewesha huduma ya kubadili matumizi ya umeme.
Ukipieleka maombi hupati huduma bila hela, na sasa wanatoza kati ya Tsh 35000/ Hadi Tshs 50000/- ndipo unabadilishiwa matumizi ya umeme.
Bila kutoa hela utasubiri sana. Kila ukienda kufuatilia ombi lako unaambiwa upo kwenye foleni Hadi miezi 6 utaambiwa subiri foleni Yako. Ukitoa hela siku hiyo hiyo unabadilishiwa matumizi.
Hii imekuwa ni kero sana kwa wanaohitaji hiyo huduma wilayani Rungwe. Tunaomba shirika itoe tamko kama hii huduma ni ya kulipia tujue , na kama huduma ni ya Bure hudumieni watanzania acheni tamaa.
Kila mtu mtaani hali ni ngumu siyo nyie tu. Mjue njaa unayohisi wewe kila mtu anahisi hivyohivyo. Tumechoka bhana