Sa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 5,214 Reaction score 10,276 Jul 27, 2023 #1 Namba ya makao makuu +255 262-323542 haijalipiwa huduma hivyo wananchi tunashindwa pata huduma ya maulizo kwa wakati. Nakunako Zanzibar ndugu zetu simu hawapokei, sijui ni njia gani nyengine ya kuwapata hawa mabwana. Sitaki kuzungumzia email
Namba ya makao makuu +255 262-323542 haijalipiwa huduma hivyo wananchi tunashindwa pata huduma ya maulizo kwa wakati. Nakunako Zanzibar ndugu zetu simu hawapokei, sijui ni njia gani nyengine ya kuwapata hawa mabwana. Sitaki kuzungumzia email
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 12,846 Reaction score 28,106 Jul 27, 2023 #2 Email miezi 6 na hutajibiwa
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Jul 27, 2023 #3 Tanzania na huduma kwa wateja ni mbingu na ardhi
Cannabis JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 11,557 Reaction score 33,535 Jul 27, 2023 #4 Tupo kwenye autopilot, tuvumilie ndugu Mtanzania!
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Jul 27, 2023 #5 Sa 7 mchana said: Namba ya makao makuu +255 262-323542 haijalipiwa huduma hivyo wananchi tunashindwa pata huduma ya maulizo kwa wakati. Click to expand... Namba ya makao makuu +255 262-323542 haijalipiwa huduma hivyo wananchi tunashindwa pata huduma ya maulizo kwa wakati. Hawashindwi kukuita mchochezi Sent using Jamii Forums mobile app
Sa 7 mchana said: Namba ya makao makuu +255 262-323542 haijalipiwa huduma hivyo wananchi tunashindwa pata huduma ya maulizo kwa wakati. Click to expand... Namba ya makao makuu +255 262-323542 haijalipiwa huduma hivyo wananchi tunashindwa pata huduma ya maulizo kwa wakati. Hawashindwi kukuita mchochezi Sent using Jamii Forums mobile app
Sa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 5,214 Reaction score 10,276 Jul 27, 2023 Thread starter #6 DR SANTOS said: E mail miezi 6 na hutajibiwa Click to expand... Nakubali, kuna-email nimeituma toka mwezi wa 5.
DR SANTOS said: E mail miezi 6 na hutajibiwa Click to expand... Nakubali, kuna-email nimeituma toka mwezi wa 5.
Sa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 5,214 Reaction score 10,276 Jul 27, 2023 Thread starter #7 Mshana Jr said: Namba ya makao makuu +255 262-323542 haijalipiwa huduma hivyo wananchi tunashindwa pata huduma ya maulizo kwa wakati. Hawashindwi kukuita mchochezi Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... πππ Yamekuwa hayo tena.
Mshana Jr said: Namba ya makao makuu +255 262-323542 haijalipiwa huduma hivyo wananchi tunashindwa pata huduma ya maulizo kwa wakati. Hawashindwi kukuita mchochezi Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... πππ Yamekuwa hayo tena.