A
Anonymous
Guest
Idara mbalimbali zinapopeleka madokezo kwa ajili ya kusainiwa na kulipa, yanachukua muda mrefu bila kusainiwa na kulipa pia, mwisho wa siku unaambiwa madokezo yamepotea.
Tunaomba TAKUKURU Katavi irudi tena Mpimbwe kuchunguza.
Tunaomba TAKUKURU Katavi irudi tena Mpimbwe kuchunguza.