DOKEZO Ofisi ya Uhasibu Halimashauri ya Mpimbwe, Katavi inachelewesha malipo kwa makusudi

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Idara mbalimbali zinapopeleka madokezo kwa ajili ya kusainiwa na kulipa, yanachukua muda mrefu bila kusainiwa na kulipa pia, mwisho wa siku unaambiwa madokezo yamepotea.

Tunaomba TAKUKURU Katavi irudi tena Mpimbwe kuchunguza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…