Ofisi ya VODACOM tawi la Moshi wana dharau

Ofisi ya VODACOM tawi la Moshi wana dharau

Omi2020

Member
Joined
Nov 13, 2020
Posts
40
Reaction score
43
Juzi kati nilienda kuwataarifu kuhusu tatizo kwenye lain yangu. Cha ajabu meneja wakati natoa maelezo kuhusiana na la laini yangu Kama dakika moja hivi ghafla anapokea sim anaongea na msela wake na kunipotezea bila hata excuse yoyote..ni kwanini watu wanakuwa hivi?..

Ni viburi vya nafasi au vipi?
 
Juzi kati nilienda kuwataarifu kuhusu tatizo kwenye lain yangu. Cha ajabu meneja wakati natoa maelezo kuhusiana na la laini yangu Kama dakika moja hivi ghafla anapokea sim anaongea na msela wake na kunipotezea bila hata excuse yoyote..ni kwanini watu wanakuwa hivi?..Ni viburi vya nafasi au vipi?
Bora vodacom, nenda ofisi za umma ua za CCM uone uozo wake
 
Juzi kati nilienda kuwataarifu kuhusu tatizo kwenye lain yangu. Cha ajabu meneja wakati natoa maelezo kuhusiana na la laini yangu Kama dakika moja hivi ghafla anapokea sim anaongea na msela wake na kunipotezea bila hata excuse yoyote..ni kwanini watu wanakuwa hivi?..Ni viburi vya nafasi au vipi?
Nenda Tigo
 
Back
Top Bottom