Ofisi ya Waziri Mkuu kukuza ujuzi kwa vijana 27000 kwa mwaka wa fedha 2016/2017

Ofisi ya Waziri Mkuu kukuza ujuzi kwa vijana 27000 kwa mwaka wa fedha 2016/2017

DAMAS DAMIAN

Senior Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
115
Reaction score
54
Anaandika Mheshimiwa Antony Mavunde

Ufunguzi wa mafunzo ya Vijana juu ya stadi za kushona na kukata vitambaa kutumia teknolojia ya kisasa katika kiwanda cha Mazava Fabric Co.Ltd Morogoro leo ambapo takribani vijana 1000 watapatiwa mafunzo na kuajiriwa baadaye.

Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira inatarajia kukuza ujuzi kwa vijana takribani 27,000 kwa mwaka wa fedha 2016/2017 katika sekta mbalimbali za uchumi ili kuiandaa nguvu kazi ya nchi kushiriki kikamilifu katika uchumi wa viwanda.

7e3671cb9d909ded043a62055bc7f9a3.jpg


381aa3a55b49ac59002fb516755a4348.jpg


50a2cf0eeceeb284c214fa0d249fa4e8.jpg
 
Back
Top Bottom