only83
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 5,343
- 2,527
Kuna Habari zinasema kuwa ni ofisi za benchmark production waandaaji wa Bongo Star Search aka BSS zimeungua kwa moto, lakini pia Excutive Director wa Benchmark Production Madam Rita kaibiwa pochi yake ambayo ndani yake kulikuwa na millioni 5 pamoja na funguo za gari lake aina ya benzi.
Source: mwandishi wa habari
Source: mwandishi wa habari